WEMA SEPETU AUMBUKA VIBAYA STEJINI

July 19, 2018 admin 0

Wema Sepetu ametengeneza kichwa cha habari mjini Morogoro baada ya juzikati kujikuta akiumbuka kufuatia viatu alivyokuwa amevaa kutaka kumng’oa meno alipokuwa akipanda jukwaani.Kisanga hicho kilimpata […]