Hatimaye Ndoa ya Zabibu Kiba Imeiva

Baada ya ndoa za kaka zake wawili kutikisa jiji, mwanadada Zabibu Kiba nae ameibuka na kukamilisha lile walilokuwa wamekamilisja ndugu zake hapo awali la kufunga ndoa na mpezni wake wa siku nyingi Abdul Banda ambae ni mchezaji mpira wa timu ya taifa.

Picha zilizosambaa katika mitandao ya kijamii znaonyesha maandalizi ya kwanza ya harusi hiyo

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*