DIAMOND PLATINUMZ NDANI YA MJENGO NA WANAE NDANI YA SOUTH AFRIKA

Wasafi TV kupitia instagram account yao wamepost picha ya kwanza ikumuonesha Diamond Platinumz akiwa South Africa na wanae. Bila shaka hii ni habari njema mno kwa team Diamond na team Zari, na wale wote ambao walikuwa wanaiombea hii couple imalize tofauti zao.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

*