JACK WOLPER AFUNGUKA WASAFI KUTAPELI WATU KUWA ATAKUWEPO KATIKA SHOW YA MBAGALA

Baada ya Wasafi kutangaza kuwa Jack Wolper na Harmonize watakuwepo kwenye Show moja huko Mbagala, Wolper amejitokeza na Kukana na Kuruka kimasai:Ameandika haya kupitia Instagram:

“TANGAZO!! TANGAZO!!TANGAZO.

NAOMBENI MTAMBUE KUWA SIPO TANZANIA NA SITOKUWEPO KWENYE SHOW YOYOTE.. IWE YA MBAGALA IWE YA POSTA MIMI KAMA WOLPER SIHUSIKII,

YOTE MNAYOYASIKIA WANAYASEMA NI YA UONGO WANATAKA KUWATAPELI

SITAKI MTU ATUMIE JINA LANGU KUVUTA WATU.

EPUKA MATAPELI

ASANTENI SANA…. #EPUKAMATAPELISUGU

#ACHENIKUTUMIAJINALANGUKUVUTAWATU

#SIPOTANZANIANASIRUDIMPAKAJULY.NAWAPENDA SANA MASHABIKI ZANGU WOTE”

 

Hili hapa Tangazo la Wasafi:

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*