YANGA WAKABIDHIWA JEZI TAYARI KWA SPORTPESA SUPER CUP

Mwakirishi wa SportPesa (kusho) akimkabidhi jezi nahodha wa Yanga, Thabani Kamusoko katika hafla ya iliyofanyika nchini Kenya.Makibidhiano ya jezi yakiendelea katika hafla hiyo iliyoshirikisha timu zote zinatakazoshiriki michuano hiyo ya SportPesa Super CupWaandaji wa mashindano ya SportPesa Super Cup, Kampini ya SportPesa leo wamekabidhi vifaa vya michezo kwa timu zote nane zitakazo shiriki michuano hiyo inayoanza kutimuavumbi kesho nchini Kenya.Tanzania inawakailishwa na timu za Yanga, Simba, Singida United pamoja na JKU ya Zanzibar.

Bingwa wa mashindano hayo atapata tiketi ya kwenda nchini England kucheza na Everton.

 

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*