ANGALIA PICHA STAA WA MAREKANI SLIYETUNUKIWA PHD

Hii ni nyingine ya kuipokea kutoka kwa staa maarufu kutokea Holly Wood Marekani Vin Diesel ambaye ameamua kujiendeleza na elimu mpaka kufanikiwa kupata shahada ya PhD katika college ya Hunter kilichopo New York Marekani.

Staa huyo mwenye umri wa miaka 50 amefanikiwa kupata shahada hiyo Jumatano May 30,2018 baada ya kuachana na shule miaka 30 iliyopita na kuijiingiza katika uigizaji Holly Wood na kufanikiwa kufanya filamu nyingi.

Vin Diesel amefanya filamu nyingi ambazo zimempatia umaarufu mkubwa ikiwemo  Fast and Furious ,The Fate of the Furious, Furious 7, Avengers Infinity War na nyingine nyingi.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*