DIAMOND PLATINUMZ AMUIBUA MASTER JAY,AFUNGUKA MAZITO KUHUSU MAFANIKIO YAKE

Kauli hiyo ya Master J inakuja baada ya mafanikio alionayo mwanamuziki huyo mmiliki na kiongozi wa lebo ya WCB.Master J amesema ambao wanaweza kumshangaa mafanikio anayopata kwa sasa pengine ni wale waliomjua hivi karibuni lakini yeye anamfahamu Diamond kama ni mwanamuziki ambaye ana kesha katika kufanya kazi.

Pia Diamond Platnumz ameingiza bidhaa zake sokoni ‘Chibu Perfume na Diamond Karanga’ na sasa amefungua Wasafi Media kwa ajili ya kukuza muziki nchini.

Diamond Platnumz ni mwanamuziki aliyejizolea heshima ndani na nje ya nchi kutokana na kujituma kwake katika kazi zake za muziki.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*