DIAMOND PLATINUMZ AMGUSA JUMA NATURE,AFUNGUKA LIVE

Msanii Juma Nature amesema albamu zake nyingi hasa ile ya Ugali ilifanya vizuri sokoni ila hajanufaika kama iliyotakiwa.Nature katika mahojiano  amesema kama si hivyo kwa sasa angekuwa miongoni mwa wasanii wenye mafanikio makubwa.

Katika uuzaji ule wa nakala kwa kweli tulikuwa tunafunikwa funikwa tu, hatukupaswa kuwa hivi,” amesema.Nilitegemea pengine kwa kipindi kama hiki yaani mimi mwenyewe ningekuwa na TV zangu kama ulivyomuana Diamond alivyofanya, tena na viwanda vikubwa vyakwangu mwenyewe,” amesisitiza.

Ameongeza kuwa hata vichache anavyomiliki kwa sasa na wasanii wengine wa zamani ni kwa vile waliamua kukomaa. Nature kwa sasa anatamba na ngoma mpya ‘Unayumba’ ambayo amemshirikisha Miss Makupa.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*