MSANII RAYVANNY AMPIGIA SALUTE ALI KIBA

MSANII wa Bongo Fleva kutoka WCB Wasafi, Rayvanny bila kinyongo ameonyesha kupenda kazi anayoifanya Alikiba ambaye ni hasimu wa Diamond Platinumz kwa miaka mingi.

Rayvanny amewataja wasanii wanaofanya vizuri kwa sasa nchini Tanzania hasa katika tasnia ya muziki ambapo mbali na Kiba alimtaja pia Diamond na Vanessa Mdee ‘Vee Money’ kwamba wanaipeperusha vyema bendera ya Tanzania Kimataifa.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*