ANGALIA ALI KIBA ATUNUKIWA TUZO NA TIMES FM

Msanii huyo amepewa tuzo hiyo Jumatatu hii kutokana na mchango wake kwenye muziki na jitihadi alizipiga kupeperusha bendera ya Tanzania na kuwa inspire wasanii wengine wachanga na kuendelea kuwepo mpaka leo kwenye muziki.

Kiba amekuwa msanii wa tatu kupewa tuzo hiyo baada ya Vanessa Mdee aliyekabidhiwa mwezi January mwaka huu na Diamond aliyepewa mwezi wa tatu.

Kwa sasa video ya ngoma yake mpya ya Mvumo wa Radi ina views milioni 1.1 kwenye mtandao wa YouTube.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*